MWIJAKU AWEKA WAZI MALI ANAZOMILIKI, USIMCHUKULIE POA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, April 19, 2019

MWIJAKU AWEKA WAZI MALI ANAZOMILIKI, USIMCHUKULIE POA

Mwigizaji wa tamthilia, Mwijaku amewafungukia wale wanaomchukulia poa kwenye mitandao ya kijamii na kuwaambia kuwa kimaisha hawalingani na yeye, na hatoacha kuongea na kuwakemea vijana wanaotupia picha mbaya mitandaoni.‘’Kuna watu wananichukulia poa, kimaisha nalingana na wazazi wao,najenga maeneo ya Mpinga nina mashamba Bunju na  Bagamoyo, nina magari nane, nimiliki ‘Ubber’ nne, yote kwa sababu ya kuigiza kule kupost ‘Instagram’ ni kuongea kuwakumbusha vijana wenzangu wanaojisahau, kuna wengine wanapiga picha mbaya siwezi kuwaacha lazima niwaambie kwa sababu nawatakia mema’’ Mwijaku aliyasema hayo hivi karibuni alipozungumza na  mtandao wa Cloudsfm.
Loading...

No comments: