PICHA;Uzinduzi wa duka la vodacom Masaki - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, April 16, 2019

PICHA;Uzinduzi wa duka la vodacom Masaki

 Mkuu wa Bidhaa wa Vodacom, Linda Riwa  (wapili kulia) na Devota Kijogoo (kulia) wakifurahia katika hafla ya uzinduzi wa duka la Vodacom Masaki, mapema leo. Kampuni hiyo inaendelea kutanua apatikananji wa huduma zake ili kuhakikisha kwamba wateja wake wanapata huduma bora.

Mkuu wa Bidhaa wa Vodacom, Linda Riwa  (wapili kulia) na Devota Kijogoo (kulia) wakikata utepe kuzindua duka la Vodacom Masaki mapema leo. Kampuni hiyo inaendelea kutanua apatikananji wa huduma zake ili kuhakikisha kwamba wateja wake wanapata huduma bora.

Mkuu wa Bidhaa wa Vodacom, Linda Riwa  (watatu kulia) na Devota Kijogoo ( wapili kulia) wakikata keki katika hafla ya uzinduzi wa duka la Vodacom Masaki. Kampuni hiyo inaendelea kutanua apatikananji wa huduma zake ili kuhakikisha kwamba wateja wake wanapata huduma bora.  

Loading...

No comments: