PONGEZI - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, April 29, 2019

PONGEZI


Blog ya MWANAHARAKATI MZALENDO pamoja na KONCEPT TV tunapenda kutoa Pongezi kwa Maxence Melo, Access Now, CIPESA, Friday Simbaya, Maria Sarungi Tsehai, Millard Ayo, Salma Said, na TTCL kwa kupewa tuzo za Utetezi bora wa Haki za Binadamu Mtandaoni hapo jana. Hongereni sana. 
Loading...

No comments: