RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA MAJENGO MAPYA YA CHUO CHA UALIMU MPUGUSO WILAYANI RUNGWE PIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA TUKUYU MKOANI MBEYA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, April 30, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA MAJENGO MAPYA YA CHUO CHA UALIMU MPUGUSO WILAYANI RUNGWE PIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA TUKUYU MKOANI MBEYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na viongozi wengine kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Majengo mapya ya Chuo cha Ualimu Mpuguso Rungwe mkoani Mbeya.
. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kyela mkoani Mbeya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Rungwe hawaonekani pichani wakati akielekea Chuo cha Ualimu Mpuguso kilichopo Rungwe mkoani Mbeya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mpuguso Rungwe mkoani Mbeya mara baada ya kuweka jiwe la msingi msingi ujenzi wa Majengo mapya ya Chuo cha Ualimu Mpuguso.
Loading...

No comments: