RAIS MHE. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA NJOMBE NA UJENZI WA BARABARA YA NJOMBE-MAKETE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu pamoja na viongozi wengine  akivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua maeneo mbalimbali ya hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe ambayo ujenzi wake upo katika hatua za mwisho kukamilika.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu pamoja na viongozi wengine mara baada ya ya kuweka jiwe la msingi katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya Njombe-Makete km 107.4 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi mbalimbali akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mitambo itakayotumika katika ujenzi wa barabara ya Njombe-Makete km 107.4. 

Post a Comment

0 Comments