Rapper Nipsey Hussle Aagwa Kifalme,

Rapper Nipsey Hussle aagwa kifalme,
Wengi wakimjua kama Nipsey Hussle lakini jina lake la kuzaliwa likiwa ni Ermias Joseph Asghedom aliyezaliwa miaka 33 iliyopita August 15, 1985 kusini mwa Los Angeles nchini Marekani na kupoteza maisha yake March 31, 2019 (age 33) Los Angeles, California, U.S.A ikiwa ni nje ya duka lake la nguo. ambalo linaitwa ‘The Marathon Clothing”

Usiku wa kuamkia leo ndio ilikuwa siku maalumu ya kumuaga rapper Nipsey ambaye alipigwa risasi nje ya duka lake March 31, 2019. katika siku hiyo ya kumuaga Nipsey mastaa wengi sana walihudhuria katika ukumbi huo ambao ndio ilikuwa sehemu alipoagiwa Michael Jackson ukumbi wa Stemple Center Los Angeles California nchini Marekani. 

Post a Comment

0 Comments