RUNGU LA BUNGE LAMSHUKIA LEMA

Leo Alhamisi Aprili 4, 2019 Bunge limemsimamisha Mbunge Godbless Lema kuhudhuria mikutano mitatu ya Bunge baada ya kukutwa na hatia ya kusema Bunge ni dhaifu.


Mbunge Godbless Lema
Bunge limefikia uamuzi huo baada ya kupitisha azimio la Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge  ambalo lilipendeza mbunge huyo wa Arusha Mjini (Chadema),kusimamishwa kuhudhuria mikutano mitatu ya Bunge kuanzia tarehe ya azimio hilo. 

SPIKA NDUGAI AAGIZA LEMA AHOJIWE NA KAMATI YA MAADILI, AMFUKUZA NDANI YA BUNGE ESTHER MATIKO

Post a Comment

0 Comments