Simba SC watoa tamko baada ya kotolewa mashindano ya CAF - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, April 14, 2019

Simba SC watoa tamko baada ya kotolewa mashindano ya CAF

Baada ya kuondolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP Mazembe kwa jumla ya mabao 4-1, uongozi wa Simba kupitia Ofisa Habari wake, Haji Manara, umesema umeacha alama kwenye michuano hiyo.


Loading...

No comments: