Ligi Kuu:Simba Yaichapa KMC - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, April 25, 2019

Ligi Kuu:Simba Yaichapa KMC

Timu ya Simba wanafanikiwa kushinda mchezo wao wa kiporo dhidi ya KMC kwa ushindi wa 2-1, magoli ya Emmanuel Okwi na John Bocco katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliyofanyika leo Alhamis jioni kwenye Uwanja wa CCM Kirumba.


Sasa wanatimiza pointi 66 na kushika nafasi ya pili nyuma ya Yanga wenye pointi 74 lakini Simba ana michezo 6 mkononi.

No comments: