SPIKA NDUGAI AAGIZA LEMA AHOJIWE NA KAMATI YA MAADILI, AMFUKUZA NDANI YA BUNGE ESTHER MATIKO - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, April 3, 2019

SPIKA NDUGAI AAGIZA LEMA AHOJIWE NA KAMATI YA MAADILI, AMFUKUZA NDANI YA BUNGE ESTHER MATIKO


Spika Job Ndugai ameagiza Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema(CHADEMA), afike mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge leo saa 8:00 mchana kujibu tuhuma zinazomkabili za kulidharau na kulidhalilisha Bunge

Spika amesema kuwa hilo si dhaifu na yeyote atayeingia kwenye 18 zao anaalikwa kwenye mchezo huo

Aidha, amema kuwa huwa Mbunge huyo wa Arusha Mjini ana msongo wa mawazo kwani tangu aingie Bungeni, amekopa Tsh. Milioni 644/-

Katika hatua nyingine amemfukuza ndani ya Ukumbi wa Bunge, Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko(CHADEMA) baada ya kupiga kelele kumpinga kiongozi huyo kutaja deni la Lema
Loading...

No comments: