TASNIA YA FILAMU TUMEYUMBA- LULU - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, April 29, 2019

TASNIA YA FILAMU TUMEYUMBA- LULU

Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizaberth Michael ‘Lulu’ akiongea na chombo kimoja cha habari hivi karibuni alifunguka na kusema kuwatasnia ya filamu imeyumba kwasasa.

Elizaberth Michael ‘Lulu’


“Kiukweli kwenye tasnia ya filamu tumeyumba kwa kiasi fulani na hata ukiangalia uzalishaji wa filamu umepungua sasa kama uzalishaji umepungua hata ushirikishwaji wa tuzo za filamu kwa nchi zingine umepungua, Tupo kwenye wakati wa kuboresha tasnia yetu hivyo nina imani mambo yatakuwa sawa” Lulu alisema.

Kushusu kurudi kwenye ‘game’ Lulu alisema;

“Kwenye movie nitarudi hivi karibuni, nahitaji kukua sehemu zote, sio tu kwenye maisha yangu bali hata kwenye kazi zangu na vitu vingine, nipo kwenye process ya kurudi kwenye movies na itachukua muda kurudi kwa sababu nataka utofauti na vile nilivyokuwa navifanya zamani kwenye movies”
</div>
Loading...

No comments: