VIDEO:Shigella Azindua Mradi wa Afya Kamilifu

Mkuu wa mkoa wa Tanga Mh. Martin Shigella leo aprili 15,2019 akiwa ndiye mgeni rasmi amezindua mradi wa Afya Kamilifu jijini Tanga.


Mradi wa Afya Kamilifu unaoendeshwa na shirika la kimataifa lisilo la kiserikali la Amref Health Africa , kwa kushirikiana na  University of Maryland Baltimore (UMB) na Tanzania Communication and develepmnt Centre (TCDC) wenye lengo la kuimarisha utoaji wa huduma na matibabu ya kufubaza VVU katika kliniki za VVU/Ukimwi za serikali na za hospitali teule kuongeza kasi ya kufikia malengo ya 95-95-95 ya kudhibiti janga la Ukimwi nchini Tanzania.

Mradi huu umefadhiliwa na shirika la Kimarekani la Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa (CDC).

Tazama video ya uzinduzi huo hapa chini

Post a Comment

0 Comments