WASAFI FESTIVAL KUFANYIKA LEO

Wasanii chini ya lebo ya mziki ya WCB, Diamond Platnumz, Rayvan, Mbosso, Lavalava, Harmonize, Quuen Darlieen na RJ the Dj, wanatarajiwa kukonga nyoyo za mashabiki wa muziki wa bongo fleva nchini Oman kwenye tamasha la wasafi litakalofanyika leo katika bustani za Intercontinental, Muscat, nchini humo. 


Tamasha hilo la Wasafi Festival ambalo hivi karibuni limefunguliwa kifungo na Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) linafanyika nchini humo kwa mara ya kwanza.

Post a Comment

0 Comments