MANENO YA CHUCHU KWA RAY KIGOSI

Leo ikiwa ni siku ya kuzaliwa ya staa wa Bongo Movie, Vincent Kigosi ‘Ray’ Chuchu Hansy ambaye ni mzazi mwenza wa staa huyo  ambapo kwasasa wana mtoto mmoja aitwaye Jaden ameandika ameandika maneno matamu ya jinsi Ray alivyobadilika baada ya kupata mtoto.


Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram, Chuchu amebadika picha hiyo hapo juu ikiwaonyesha wawili hapo wakiwa wemelaliana kipindi chuchu akiwa ana ujauzito wa Jaden, na kuandika maneno haya.

“Happy Birthday baba @jadenthegreatest baba mwenye jeuri zako baada ya kupata mtoto ukajiona baba mpk wa watoto wakubwa waliokomaa😊 Ramadhani iii No matter what Nakutakia Happy Birthday MUNGU azidi kukuweka inshaalah uje mleane na mwanao sina zawadi kubwa zawadi yangu ni @jadenthegreatest na natumai ni zawadi ya milele na yenye historia kwako..Enjoy ur day",–Chuchu alimaliza.
Haya mashabiki wote wa Ray tumtakie Happy birthday Ray Kigosi

Post a Comment

0 Comments