JUVENTUS WAMUONGEZEA MKATABA MARIO MANDZUKIC - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, May 3, 2019

JUVENTUS WAMUONGEZEA MKATABA MARIO MANDZUKIC


Mshambuliaji wa klabu ya Juventus ya nchini Italia, Mario Mandkuzic amesaini mkataba mpya utakaomfanya abakie ndani ya klabu hiyo mpaka ifikapo mwaka 2021. 

Mshambuliaji huyo mzaliwa wa CROATIA, alijiunga na waitaliano hao akitokea klabu ya Fc Bayern Munich mnamo msimu wa 2015/2016 na ameshaichezea klabu ya Juventus kwa misimu minne sasa. 

Mandkuzic, ameshacheza jumla ya michezo 159 na kufunga mabao 43 na kutoa pasi za mabao (assists) 19. 

Je, ni uamuzi mzuri kwa JUVE kumuongezea mkataba bwana Mario? 
Loading...

No comments: