KIKOSI CHA TAIFA STARS CHAN NA AFCON CHATAJWA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, May 1, 2019

KIKOSI CHA TAIFA STARS CHAN NA AFCON CHATAJWA


Kocha mkuu wa timu ya Taifa Tanzania, Emmanuel Amunike amemuita mshambuliaji wa Serengeti Boys, Kelvin John katika kikosi chake cha wachezaji 39, kinachojiandaa na fainali za Mataifa ya Afrika AFCON nchini Misri.
Orodha hiyo ya nyota 39 ndiyo pia itakayotoa wachezaji watakaounda kikosi cha Tanzania kitakachocheza mechi ya awali ya kusaka kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) Katika kusaka kufuzu kwa CHAN mwakani Tanzania itaanza kwa kucheza dhidi ya Sudan mwishoni mwa Julai.
 

Kikosi Taifa Stars:

Aish Manula (Simba), Metacha Mnata (Mbao), Claryo Boniface (undr20), Suleman Salula (Malindi fc), Aron Kalambo (Prison), Hassan Kessy (Nkana Fc), Vicent Philipo (Mbao), Shomari Kapombe (Simba), Gadiel Michael (Yanga), Abdi Banda (Baroka), Ally Mtoni (Lipuli), Mohammed Hussein (Simba).

Pia Agrey Morris (Azam), Kelvin Yondani (Yanga), Erasto Nyoni (Simba), David Mwantika (Azam), Ally Ally (Kmc), Kennedy Wilson (Singida) Feisal Salum (Yanga).

Himid Mao (Petrojet), Mudathir Yahya (Azam), Yahya Zaydi (Ismailia), Jonas Mkude (Simba), Ibahim Ajib (Yanga), Fred Tangaru (Lipuli Fc), Frank Domayo (Azam fc), Shaban Chilunda (Tenerife afc), Shiza Ramadhan (Enppi), Simon Msuva (al Jadida).

Wapo Rashid Mandawa (Bdf Xi), Mbwana Samatta (Krc Genk), Thomas Ulimwengu (JS Saoura), John Bocco (Simba), Farid Mussa (Teneriffe), Ayoub Lyanga (Coastal Union), Kassim Hamis ( Kagera Sugar), Miraj Athuman (lipuli), Kelvin John (undr 17) na Adi Yusuph (Solihull Moors, England).
Loading...

No comments: