MAN UNITED WAZIWEKA WAZI JEZI ZAO ZA NYUMBANI ZA MSIMU UJAO - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, May 16, 2019

MAN UNITED WAZIWEKA WAZI JEZI ZAO ZA NYUMBANI ZA MSIMU UJAO

Klabu ya Manchester United ya Uingereza, leo imeamua kuzionyesha jezi zao mpya watakazozitumia katika msimu ujao wa 2019/2020. Ziangalie kisha tupe maoni yako. Unazionaje? 

Man United New Kit

Jezi mpya Man United

Jezi mpya

Manchester United

Loading...

No comments: