MTENDAJI MKUU WA WAKALA WA UCHIMBAJI VISIMA NA UJENZI WA MABWAWA, ATENGULIWA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, May 9, 2019

MTENDAJI MKUU WA WAKALA WA UCHIMBAJI VISIMA NA UJENZI WA MABWAWA, ATENGULIWA


Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa ametengua uteuzi wa Domina Msonge na kumtea Mhandisi Gonsalves Rwegasira Rutakyamirwa kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu

Kabla ya uteuzi huo Mhandisi Gonsalves alikuwa akifanya kazi Mamlaka ya Majisafi na Majitaka jijini Dar es Salaam(DAWASA) akisimamia miradi ya maji

Aidha, katika taarifa hiyo iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha Wizara ya Maji, Florence Lawrence, uteuzi huu umeanza jana Mei 08, 2019 Loading...

No comments: