PICHA: MWILI WA DR. MENGI WAWASILI MACHAME - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, May 8, 2019

PICHA: MWILI WA DR. MENGI WAWASILI MACHAME

Mwili wa Dr. Reginald Mengi umeshawasili nyumbani kwake Nkweseko Nkwakundu, Machame.Kama unavyoona hiyo ndiyo nyumba yake ya kijijini. 


Kesho atakwenda kuagwa kanisani, KKKT usharika wa Moshi Mjini kisha atazikwa nyumbani kwao Kisereni Machame. 

Wakina mama wanasema gari lililobeba mwili wa Dr. Reginald Mengi likipita katika khanga
Loading...

No comments: