SIMBA YAPAA KILELENI LIGI KUU - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, May 8, 2019

SIMBA YAPAA KILELENI LIGI KUU

Timu ya Simba imepaa kileleni mwa ligi kuu Tanzania Bara  baada ya kuichapa Coastal Union ya Tanga mabao 8-1 jioni ya leo Jumatano kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.


Magoli ya Simba kwenye mchezo huo yamefungwa na Clatous Chama (1),Emmanuel Okwi (3),Meddie Kagere (3), Hassan Dilunga (1). Wakati goli la kufutia machozi la Coastal Union limefungwa na Raizan Hafidh.

Kwamatokeo hayo Simba imefikisha pointi 81 ikiwa imecheza micheo 31 na hivyo kuongoza ligi ikifuatiwa na timu ya Yanga SC yenye pointi 80 na imecheza mechi 34.
Loading...

No comments: