Tigo yaendesha zoezi la usajili wa laini za simu Bungeni - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, May 13, 2019

Tigo yaendesha zoezi la usajili wa laini za simu Bungeni

Afisa Huduma kwa wateja kutoka Kampuni ya Tigo Regani Emmanuel, akimsajili Mbunge wa jimbo la Chwaka, Bhagwanji Meisuria (kulia), kupitia utaratibu mpya wa  usajili wa laini za simu kwa kutumia alama za vidole katika viwanja vya bunge mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.

Afisa anayehusika na usajili wa laini za simu kutoka kampuni ya Tigo Tanzania, Atupiani Makweta, akimsajilia mbunge Tunduma Frank Mwakajoka kwa kutumia mfumo mpya wa usajili kwa kutumia alama za vidole mwishoni katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma.

Spika wa Bunge Job Ndugai, akitoka kusajili laini yake ya Tigo kwa njia ya usajili wa laini za simu kupitia alama za vidole katika viwanja vya bunge mjini Dodoma.

Usajili ukiendelea katika viwanja vya bunge mjini Dodoma.

Loading...

No comments: