Tigo yasajili laini za watumishi wa Umma Dodoma - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, May 16, 2019

Tigo yasajili laini za watumishi wa Umma Dodoma

Afisa usajili laini za simu kutoka kampuni ya  Tigo Regan Emmanuel (wa kwanza kulia), akisajili laini ya mteja wa kampuni hiyo kupitia utaratibu mpya ya usajili wa laini za simu kwa njia ya alama za vidole katika mji wa Kiserikali wa Mtumba mjijini Dodoma jana. Kushoto ni afisa mwingine wa Tigo Jackson Jerry akimsajili mteja.

Afisa usajili laini za simu kutoka kampuni ya  Tigo Regan Emmanuel (wa kwanza kulia), akisajili laini ya mteja wa kampuni hiyo kupitia utaratibu mpya ya usajili wa laini za simu kwa njia ya alama za vidole katika mji wa Kiserikali wa Mtumba mjijini Dodoma jana. Kulia kwake ni afisa  mwingine wa Tigo Jackson Jerry.

.Afisa usajili laini za simu kutoka kampuni ya  Tigo Regan Emmanuel (kushoto), akisajili laini ya mteja wa kampuni hiyo kupitia utaratibu mpya ya usajili wa laini za simu kwa njia ya alama za vidole katika mji wa Kiserikali wa Mtumba mjijini Dodoma jana. Kulia ni afisa mwingine wa Tigo Placida Jamson

Afisa wa Kampuni ya Tigo wakisajili laini za simu za watumishi wa Umma kupitia  utaratibu mpya ya usajili wa laini za simu kwa njia ya alama za vidole katika mji wa Kiserikali wa Mtumba mjijini Dodoma jana.

Loading...

No comments: