Yanga Yakubali Kichapo cha 2-0 Dhidi ya Lipuli - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, May 6, 2019

Yanga Yakubali Kichapo cha 2-0 Dhidi ya Lipuli

TIMU Lipuli FC ya Iringa imefanikiwa kuingia fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarudu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Yanga SC mchezo uliyonyika leo  jumatatu May 6, kwenye Uwanja wa Samora mjini Iringa. 
Wachezaji wa Lipuli FC


Kwa matokeo haya,  Lipuli FC  inaungana na Azam kucheza fainali ya mucguano hiyo itayakofanyika  Uwanja wa Ilulu mjini Lindi mapema mwezi ujao, ikiwa ni mara ya kwanza kwa Lipuli lakini ni mara ya pili kwa Azam.

Katika mchezo huo uliochezeshwa na refa Shomary Lawi wa Kigoma, mabao ya Lipuli FC yalifungwa na mshambuliaji wa zamani wa Yanga SC, Paul Nonga dakika ya 27 na Daruwesh Saliboko dakika ya 38.
Loading...

No comments: