BAADA YA R.KELLY, NI ZAMU YA DIDDY SASA, EX WAKE AFUNGUKA UNYANYASAJI HUU - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, June 19, 2019

BAADA YA R.KELLY, NI ZAMU YA DIDDY SASA, EX WAKE AFUNGUKA UNYANYASAJI HUU

Diddy na Gina Huynh enzi za penzi lao.

Rapa mkongwe Diddy yameanza kumkuta yale yanayomuandama bwana R. Kelly, kwani Ex wake amuwashia moto kwenye mahojiano na mtangazaji Tasha K hivi karibuni.

Gina Huynh ambaye Diddy alimkimbilia baada ya kuanza kuchokana na Cassie ameweka wazi kuwa kipindi cha penzi lao, Diddy alikuwa akimnyanyasa kwa kumpiga na ilifika hadi kumlazimisha kutoa ujauzito ambapo rapper huyo alilipia kiasi cha $50,000. 

Pia ameeleza kuwa wakati akimpiga alikuwa akimtamkia kuwa Cassie ni bora zaidi kuliko yeye.

"He was mentally, emotionally and physically abusing me. He would always compare me to Cassie and tell me that I'm the bad one. She's a good one." alisema Gina. 

No comments: