BORIS JOHNSON ASHINDA DURU YA KWANZA KATIKA UCHAGUZI WA WAZIRI MKUU UINGEREZA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, June 14, 2019

BORIS JOHNSON ASHINDA DURU YA KWANZA KATIKA UCHAGUZI WA WAZIRI MKUU UINGEREZA

Uchaguzi Waziri Mkuu Uingereza

Mchakato umeanza ndani ya chama cha Wahafidhina (Conservative) baada ya aliyekuwa Waziri Mkuu, Theresa May kutangaza kujiuzulu. 

Boris Johnson ameshinda duru ya kwanza kwa kupata kura 114 huku wagombea wengine watatu, Esther McVey, Andrea Leadsom, Mark Harper wakiondolewa. 

Jeremy Hunt ameshika nafasi ya pili katika kinyang'anyiro hicho akifuatiwa na Michael Gove, Dominic Raab, Said Javid, Matt Hancock na Rory Stewart. 

Waziri Mkuu mpya atakayepatikana anatarajiwa kuongoza harakati za Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya (EU). 

Loading...

No comments: