DAR ES SALAAM NA MWANZA VINARA WA MSONGAMANO WA WATU MWAKA 2018 - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, June 14, 2019

DAR ES SALAAM NA MWANZA VINARA WA MSONGAMANO WA WATU MWAKA 2018


Dar es Salaam na Mwanza ni kati ya mikoa minne iliyotajwa kuwa na msongamano mkubwa zaidi wa watu kwa mwaka 2018 huku mikoa mingine inayofuatia kwa idadi kubwa ya watu ni Kagera na Kilimanjaro

Dar es Salaam ilikuwa na msongamano wa watu 3,695 kwa kila kilomita moja ya mraba ukifuatiwa na Mwanza iliyokuwa na watu 373.1, Kagera watu 119.6 na Kilimanjaro watu 104

Mkoa wa Lindi umetajwa kuwa na idadi ndogo zaidi ya watu kwa kilomita moja ya mraba ikiwa na wastani wa watu 14.9, ukifuatiwa na Katavi watu 16.1 na Ruvuma watu 24.8 kwa kila kilomita moja ya mraba. 

Loading...

No comments: