HII NDIO MIWANI YA MAMILIONI ANAYOVAA VANESSA MDEE KWA SASA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, June 14, 2019

HII NDIO MIWANI YA MAMILIONI ANAYOVAA VANESSA MDEE KWA SASA

Vee Money

Macho ya Vanessa Mdee yamepambwa na mamilioni ya pesa, kwenye picha hii ametupia miwani aina ya Linnetto Square kutoka kampuni ya DITA EYE WEAR ambapo bei yake ni (£483) sawa na Tsh milioni 1.4. Siku chache nyuma Vanessa aliungana na mastaa wengine wakubwa wa dunia kama Cardi B na Kylie Jenner kuvalishwa na kutangaza mavazi ya kampuni ya Fashion Nova. 


Loading...

No comments: