JIJI LA NEWYORK LAMPA HESHIMA HII MAREHEMU NOTORIOUS B.I.G - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, June 12, 2019

JIJI LA NEWYORK LAMPA HESHIMA HII MAREHEMU NOTORIOUS B.I.G


Taarifa kutoka nchini Marekani zinasema kuwa jiji la NewYork hasa mtaa wa Brooklyn umeamua kumpa heshima msanii mkongwe na gwiji Christopher Wallace maarufu kama B.I.G kwa kuipa jina lake moja ya barabara za mtaa  huo ambapo alizaliwa na kukulia. 

Notorious B.I.G alilibeba Jiji la New York begani, sasa miaka 22 tangu kifo chake New York imeamua kumpa heshima kubwa ya kuupa jina lake moja ya mtaa.

Akizungumza kwenye mahojiano Exclusive na Ebro In The Morning, Mama mzazi wa marehemu B.I.G - Ms.Volletta pamoja na mjukuu wake wamethibitisha kwa kusema mtaa huo "Christopher Wallace Way" utazinduliwa June 10 katika makutano ya St. James Place & Fulton Street. 

Loading...

No comments: