MAURIZIO 'MASIGARA' SARRI AJIUNGA RASMI NA JUVENTUS - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, June 17, 2019

MAURIZIO 'MASIGARA' SARRI AJIUNGA RASMI NA JUVENTUSKocha huyo amejiunga na Juventus kwa kandarasi ya miaka 3 baada ya kukaa Chelsea kwa msimu mmoja 

Akiwa Chelsea, alifanikiwa kuchukua Kombe la Europa likiwa ndio taji lake kubwa katika maisha yake ya Ukocha. 

Loading...

No comments: