MPAKA SASA, REAL MADRID WAMEVUTA VYUMA HIVI... - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, June 13, 2019

MPAKA SASA, REAL MADRID WAMEVUTA VYUMA HIVI...

Wakati klabu kama Man United na FC Barcelona zikiendelea KUHUSISHWA na kutaka kusaini wachezaji kadha wa kadha, Real Madrid wao hawana utani, kwani wananunua tu.

Mpaka sasa wameshakamilisha usajili wa wachezaji watano na bado wanaendelea kufanya mazungumzo na wachezaji wengine.

Hawa ndio wachezaji waliosajiliwa mpaka sasa:Loading...

No comments: