TAARIFA MPYA KUHUSU NICKI MINAJ KUTEMWA NA CHRIS BROWN KWENYE TOUR YAKE - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, June 13, 2019

TAARIFA MPYA KUHUSU NICKI MINAJ KUTEMWA NA CHRIS BROWN KWENYE TOUR YAKE


Baada ya taarifa za Nicki Minaj kuachwa kwenye majina ya wasanii ambao watamsindikiza Chris Brown kwenye ziara yake ya muziki maarufu kama Indigo GOAT iliyopangwa kufanyika baadaye mwaka huu, mitandao imekuja na majibu haya. 

Tangu itoke taarifa hiyo kambi ya mashabiki wa Minaj wanaona kama Breezy amemtema msanii wao. 

Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa Nicki Minaj hakuwahi kusaini mkataba wa kufanya ziara na Chris Brown japo wawili hao waliwahi kujadili kufanya hivyo baada ya kufanya vizuri kwa wimbo wao uitwao "Wobble Up". 

Loading...

No comments: