GADIEL MICHAEL HUYOOOO MSIMBAZI - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, July 9, 2019

GADIEL MICHAEL HUYOOOO MSIMBAZI

Ni rasmi sasa aliyekuwa mlinzi/beki wa klabu ya Yanga, Gadiel Michael amejiunga na mabingwa watetezi wa Ligi kuu Tanzania Bara klabu ya Simba Sports Club na kusaini mkataba wa miaka miwili. 

Loading...

No comments: