TREY SONGZ AKATAA 'KATAKATA' KUMTAJA MAMA WA MTOTO WAKE


Trey Songz alitangaza kupata mtoto wake wa kwanza miezi miwili iliyopita, swali ambalo alituacha nalo ni: Ni nani mama mzazi wa mtoto Noah?Sasa jana mashabiki zake walitaka kumfahamu mama mzaa chema na kupitia post yake ya instagram, shabiki mmoja aliacha comment yake isemayo "Who is Noah's mom.. we need a talk" akimaanisha "Nani ni mama wa Noah? Tunahitaji kuongea naye". 

Hakimchukua muda Trey kumjibu utumbo shabiki huyo kwa kuandika: "Noah's mom and you don't have shit to talk about. And the rest of y'all either mind ya fuckin business." aliandika Trey Songz akimaanisha kila mtu afate biashara yake haina haja ya kumjua mama mtoto wake. 

Post a Comment

0 Comments