JIANDAE KUTUMIA MFUMO WA ULINZI WA 'FINGERPRINT' KATIKA WHATSAPP YAKO


Wakati watumiaji wa Apple wakiwa wanaendelea kuifurahia huduma ya Fingerprint, mtandao wa WhatsApp wameamua kuachia Update mpya kwa watumiaji wake wa Android kwa ajili ya kutumia teknolojia ya Fingerprint katika kufunga na kufungua WhatsApp zao. Toleo hili bado halijaachiwa rasmi kwa watumiaji wake wote, ila linapatikana kwa wale ambao ni BETA testers, yaani wale ambao wanapenda kujaribu matoleo mapya kabla ya wengine kuwafikia. Unaionaje hii? 

Post a Comment

0 Comments