MADUKA YA RAIA WA KIGENI YAVAMIWA NA KUPORWA AFRIKA KUSINI

Maduka yanayomilikiwa na wageni nchini Afika Kusini hasa katika eneo la Soweto yamevamiwa wa wazawa wa taifa hilo hapo jana na kusababisha uharibifu mkubwa pamoja na kupotea kwa mali. Raia wa Afrika Kusini wameyavamia maduka hayo na kufanya uporaji wa bidhaa mbali mbali zilizokuwa zimewekwa kwenye makabati kwa ajili ya kuuzwa

Maeneo yaliyoathiriwa zaidi ya uvamizi huo ni Moroka, Dlamini, Protea Glen, Dobsonville, Rockville na Zola

Raia wa Afrika Kusini mara kwa mara wamekuwa wakiwabugudhi wageni waliopokatikanchi hiyo kwa ajili ya kufanya shughuli za kiuchumi

Waafrika Kusini wanadai kuwa wageni wamechukua fursa zao za ajira na katika sekta ya uchumiPost a Comment

0 Comments