NDOA YA MILEY CYRUS NA LIAM HEMSWORTH KWISHA HABARI...

Miley Cyrus na Liam Hemsworth wameachana, imeripoti mitandao mbali mbali ya burudani nchini Marekani. Chanzo cha wao kuachana hakijaelezwa ila maafikiano ya pamoja yametajwa kuchukua nafasi na kuamua kuendeleza urafiki. 

Kwa miaka 10 sasa, Penzi lao limekuwa na mguu nje mguu ndani hata kabla ya kufunga ndoa December mwaka jana. 

Post a Comment

0 Comments