TANZIA: MSANII DJ ARAFAT AFARIKI DUNIA KWA AJALIMwimbaji maarufu barani Afrika toka nchini Ivory Coast Dj Arafat amefariki dunia jana. Vyombo vya habari nchini humo vimeripoti kuwa Arafat (33) amefariki kwa ajali mara baada ya Pikipiki aliyokuwa akiendesha kugongana na gari barabarani. 

Alikimbizwa hospitali mjini Abidjan na baadae alifariki akiwa huko. 

Post a Comment

0 Comments