TANZIA: MSANII 'MBALAMWEZI' WA KUNDI LA 'THE MAFIK' AFARIKI DUNIA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, August 16, 2019

TANZIA: MSANII 'MBALAMWEZI' WA KUNDI LA 'THE MAFIK' AFARIKI DUNIA

Mbalamwezi


Mwanamuziki Mbalamwezi ambaye ni mmoja wa wanaounda kundi la The Mafik amefariki dunia kutokana na majeraha ambayo yanahusishwa na kupigwa. 

Utata mkubwa umegubika kifo chake, ambapo marafiki zake wameeleza kuwa walikuta mwili wake umetelezwa ukiwa hauna nguo. 

Ucunguzi unaendelea kwa sasa kubaini nani mhusika wa tukio hilo na tutakutaarifu kila linalojiri. 
Loading...

No comments: