Muasisi Na Aliyewahi Kuwa Rais Wa Zimbabwe, Robert Mugabe Afariki Dunia - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, September 6, 2019

Muasisi Na Aliyewahi Kuwa Rais Wa Zimbabwe, Robert Mugabe Afariki DuniaMuasisi na Rais wa kwanza wa Taifa huru la Zimbabwe, Robert Mugabe amefikwa na umauti katika Hospitali moja nchini Singapore, alikokuwa akipatiwa matibabu usiku wa kuamkia leo. 

Mugabe aliyeondolewa madarakani na Jeshi mwaka 2017, alianza matibabu nchini Singapore mwezi Aprili, 2019.  

No comments: