Tiwa Savage Ajitoa Kutumbuiza Tamasha La Afrika Kusini - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, September 4, 2019

Tiwa Savage Ajitoa Kutumbuiza Tamasha La Afrika Kusini

Msanii wa Nigeria Tiwa Savage kupitia akaunti yake ya mtandao wa Twitter amesema hatokwenda nchini Afrika Kusini kupaform kwenye tamasha la DSTV Delicious Festival kutokana Vurugu zinazoendelea nchini humo. 

Tiwa anaungana msanii Burna Boy, mnaijeria mwenzake ambaye ameapa kutofika nchini humo maisha yake yote. 


No comments: