MSOLLA AENDELEZA UMAFIA YANGA, AFANYA MAAMUZI MENGINE MAGUMU


Ikiwa ni takribani siku nne zimepita tangu kuvunjwa kwa benchi la ufundi la klabu ya Yanga chini ya aliyekuwa Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera, Mwenyekiti wa klabu hiyo, Mshindo Msolla ameivunja pia Kamati ya Mashindano ya klabu hiyo.


Post a Comment

0 Comments