LIVERPOOL JICHO KWA MBAPPE.

Kylian Mbappe amekua akihusishwa kuondoka  Paris Saint-Germain na Liverpool wanaonekana wapo kwenye mbio za kumuwania.

Mbappe, mwenye miaka 20, amekuwa na nyota kwa PSG tangu kuwasili mnamo 2017, lakini inasemekana ni shabaha kwa  Real Madrid,

Walakini, Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa (UEFA) Liverpool wanaonesha Nia ya kumuwania Mshambuliaji huyo Mfaransa.

Liverpool wanaripotiwa kuanza vita na Real Madrid kwa nyota wa Paris Saint-Germain Kylian Mbappe. japo ndoto zake ni kutua Real Madrid.

Post a Comment

0 Comments