MKAPA: "Bado CCM Inajiona Ipo Kwenye Siasa Ya Chama Kimoja"

Kupitia kitabu chake cha "My Life, My Purpose" Mh Rais Mstaafu Benjamin Mkapa anasema; Anaona Rais Mstaafu anathaminiwa zaidi Kimataifa kuliko nyumbani jambo ambalo hata Mwl. JK NYERERE aliliona.Pia kama Taifa lione aibu kuwa ombaomba na kwamba Taifa linatakiwa lijitegemee. Pia Jumuiya ya Afrika Mashariki iimarishwe na pia uongozi bora ni kipaji au karama na Sayansi.

Pia Chama cha Mapinduzi (CCM) bado kinajiona kama bado kipo kwenye siasa ya chama kimoja kinahitajiaka "more political contraction" uwepo wa vyama vingi sana vya siasa vinadhoofisha Demokrasia, watu wanaingia kwenye siasa kutafuta kujinufaisha kiuchumi sio kuwatumikia watu.

Post a Comment

0 Comments