MWAKINYO USO KWA USO NA MAGUFULI TAYARI KUMMALIZA MFILIPINO - VID


Katibu wa Chama Cha Ngumi Nchini PCT, Antoni  Rutha, amewaomba wa tanzania kujitokeza kwa wingi Siku ya usiku wa vitasa litakalo fanyika katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.

Akizungumza na Waandishi wa habari, Ruta amesema katika kuelekea pambano Hilo Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli ndiye atakuwa mgeni Rasmi

Hata hivyo Ruta amesema maandalizi kuelekea pambano hilo yamekamilika na kwa Sasa Wana msubiri Arnel Tinampay kuwasili Nchini

Pambano la Mwakinyo na Tinampay linatarajiwa kupigwa katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Huku mgeni Rasmi akitarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli.

Post a Comment

0 Comments