Sho Madjozi aliyeimba wimbo wa John Cena kwa Kiswahili, amtoa maneno mazito mbabe huyo wa Mieleka baada ya kukutana - Video


katika show ya msanii Kelly Crarkson (The Clarkson show) msanii kutoka kwa madiba Afrika kusini Sho Madjozi alikua anaperform katika show hiyo na kikubwa kilichotokea ni kwamba mkali wa mielekea duniani John Cena kumfanyia Suprise mwanadada huyo kitu ambacho hakutegemea kabisa.

Ikumbukwe katika show ya Ellen Ellen (The Ellen Show) John Cena aliulizwa kuwa kuna msanii kutoka Afrika kusini kaimba wimbo unaitwa John Cena unamfahamu alijibu ndio nmafahamu na akamtaja jina kusema anaitwa Sho Madjozi.Sho Madzoji aliandika maneno haya kwenye ukurasa wake wa Twitter:-“Sikumuona akiingia kwa wakati huo watu walikuwa wakipiga kelele mimi ni kama ninlishtuka.”

Post a Comment

0 Comments