ZAHERA AWAIBUA WAWILI WALIOSABABISHA KUPOTEZA KIBARUA CHAKE YANGA - VIDEOAliyekuwa Kocha wa YANGA Mwinyi Zahera amesema kuwa uongozi wa Yanga ulimtaka kumletea kocha Msaidizi ambaye ni Charles Mkwasa kwa sasa ndiye kaimu Kocha Mkuu wa Yanga jambo ambalo alilikataa na akiamini lilisababisha kuondoshwa kazini.

Post a Comment

0 Comments