DKT. BASHIRU AKABIDHI MSAADA WA MAGODORO KWA WAHANGA WA MAFURIKO KASKAZINI PEMBA.


Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiri Ally, akiendelea na ziara yake Mkoa wa Kaskazini Pemba amewatembelea wahanga wapatao 20 wa mafuriko  ya tarehe 27, Novemba, 2019 Wadi ya Minungwini Mtaa wa Kiuyu na kukabidhi Magodoro na Vifaa mbalimbali vya kujikimu katika kipindi hiki cha mpito.Wakati huo huo ameshiriki ujenzi wa tawi la Minungwini  ulioanza Novemba, 2019 kwa nguvu za wanachama ambapo amechangia shilingi milioni mbili (2) kuunga mkono juhudi za wanachama wa tawi hilo. 

Post a Comment

0 Comments