JE WAJUA KUVIMBIWA SANA KUNAFANYA UPATE NJAA MAPEMAKula sana kunakufanya ujisikie njaa haraka
Kula sana kunakufanya ujisikie njaa haraka

Nina uhakika namna gani huwa ninajisikia baada ya mlo wa jioni wa krismasi, siku inayofuata muda wa mchana lazima lazima nile chakula kingine.Ukifikiria kuhusu suala hili, inawezekana kuna somo ambalo tunapaswa kujifunza.
Kwa nini huwa tunaamka na njaa sana baada ya kula mlo mzito labda kwenye sherehe. 
Je, kula sana huwa kunafanya tumbo litanuke na kuwa nafasi kubwa zaidi ya kupokea chakula kingine siku inayofuata?


Embu tafakari, pale unapohisi umelala huku umevimbiwa inakuwaje ghafla njaa kali inaanza.
Jibu la watu wengi ambao walikula chakula kingi muda mfupi uliopita huwa wanasikia njaa.
Njaa inakuwa kali kwa sababu ya kula sana.
Kuna ukweli kuwa tumbo huwa linabadilika kutokana na chakula ulichokula.Ukiwa umeshiba lazima tumbo lionekane kuwa limejaa na unapokuwa na njaa linapungua.


Mlo wa asubuhi ni muhimu zaidi
Mlo wa asubuhi ni muhimu zaidi

Je, kifungua kinywa ndio mlo muhimu zaidi kwa siku?
Lakini sio kweli kuwa mtu anapokula chakula na tumbo pia huwa linabadilika . 


Tumbo lina uwezo wa kusinyaa na kuongezeka na kutosheleza kiwango chochote, mfano tumbo lina uwezo wa kupokea lita moja au mbili za maji baada ya mtu kula chakula kingi.
Ukweli ni kuwa, watu wengi tumbo halina uhusiano na urefu au uzito ,hakuna athari zozote zinazoweza kujitokeza.
Homoni ndio zinaweza kumfanya mtu kuhisi njaa au kuhisi kushiba. 
Homoni huwa zinawafanya baadhi ya watu kula sana na wengine kula kwa kiwango kidogo.
Homoni ndio zinaweza kusababisha chakula kumeng'enyuka taratibu katika matumbo yetu, homoni pia huwa zinatoa fursa kwa mwili kupata muda wa kumeng'enya chakula 

Ndio maana kuna watu ambao huwa wana hamu ya kula chakula sana na kuna wengine huwa hawana hamu ya chakula kwa muda fulani. 
Tumbo lina mfumo wa kuutarifu ubongo kuwa lina hitaji chakula yani liko wazi, ndio hapo mtu anaanza kujisikia njaa.


Ni kiwango gani cha chakula ambacho mtu unapaswa kula
Ni kiwango gani cha chakula ambacho mtu unapaswa kula

Kula chakula kupita kiasi sio jambo baya anasema mtaalamu wa afya bwana van den Akker. 
Huku kitaalamu, mtu kula chakula kingi kunaweza, kukufanya kuhisi njaa baada ya muda mfupi ingawa huwa yanahusisha hisia, aibu na kujihisi na hatia.

Kula kupita kiasi huwa ni tabia ambayo mtu unaweza kuiacha. 
Pale tunapohusisha masuala ya chakula haswa chakula chenye sukari; muda, harufu, muonekano na tabia za watu, hisia za watu kupenda kula chakula fulani kwa kiwango fulani huwa zinategemewa.


Mtu huwa anachagua kula chakula kiasi fulani kutokana mihemko aliyonayo kwa wakati fulani
Mtu huwa anachagua kula chakula kiasi fulani kutokana mihemko aliyonayo kwa wakati fulani

Mara nyingine huwa tunakula kiwango kikubwa kutokana a mihemuko fulani.
Labda ni sherehe na mtu una furaha, unaweza kula sana, lakini ukiwa umechoka unaweza kuwa huna hamu ya chakula.
Unaweza kupata mihemuko ya ya kula chakula fulani sana kutokana na ladha yake, lakini pia unaweza kula chakula kingi kutokana na watu unaokula nao.
Mjumuiko wa marafiki au familia au marafiki unaweza kukufanya mtu uweze kula chakula kingi zaidi.

Lakini kinachoshangaza ni pale mtu unapotoka kula chakula kingi na marafiki na familia na mara ghafla unaanza kuhisi njaa tena.
Msimu wa sikukuu umekaribia, embu tafakari hili kama lina ukweli wowote?
Pilau jingi utakalolila sikukuu ya krisimasi, siku inayofuata utakuwa unajisikiaje?

Post a Comment

0 Comments