Manchester United kumkosa Antony Martial katika mtanange wa leo dhidi ya Tottenham

Klabu ya Manchester United, inatarajiwa kumkosa mshambuliaji Anthony Martial katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) leo usiku dhidi ya Tottenham Hotspur katika uwanja wa Old Traffod  kutokana na majeraha ya misuli.

Martial alitowa nje ya uwanja dakika ya 82 kwenye  mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Aston Villa Jumapili iliyopita, mchezo uliomalizika kwa sare ya kufunga magoli 2-2.

Pia Martial anaweza kukosa mchezo wa Jumapili dhidi ya Manchester City utakaopigwa kwenye uwanja wa Ethad.


Post a Comment

0 Comments