MOTO WA LEICESTER CITY HAUZIMI, WATFORD YACHAPWA 2-0
JAMIE Vardy nyota wa Leicester City ameendeleza moto wake leo wakati timu yake ikiinyoosha mabao 2-0 timu ya Watford.


Vard alifunga bao la kuongoza kwa timu yake ya Leicester dakika ya 55 kwa mkwaju wa penalti na kuongeza nguvu ya mashambulizi kwa timu yake.

Dakika ya 90+5 James Maddison aliwamaliza nguvu kabisa wapinzani wake kwa kufunga bao la usiku kwenye dakika za lala salama.


Post a Comment

0 Comments